Connect with us

Hi, what are you looking for?

David Wonder’s Najua Lyrics

Advertisement

Baraka zako Kweli me nimejionea Na mkono wako Kutwa kucha umeninyoshea Mimi ni wako Tena mimi sitapotea Na neno lako Moyoni nimejiwekea Wakati me sikuwa na kitu Baba (ulinishikilia) Wakati me sikuwa na kitu Baba

Ndio me nataka nikilala (nakuona tu Baba) Eeehh na nikiamka (nakuona tu Baba) Na me nataka nikitembea (nakuona tu Baba) Eeehh na nikiongea Kwani najua (najua) Najua (najua) Umenishika kwenye mikono (mikono ooh) Najua (najua) Najua (najua) Umenishika mimi ni wako (ni wako ooh) Ni wako ooooooh

Advertisement

Oh Yesu Usinitoe kwenye yako mipango Bila wewe sina mwisho na mwanzo ooh Ona, ona aah Siwezi tena kujificha Kwangu ndio unabisha Nakukaribisha ooh Na me nataka nikiomba (nakuona tu Baba) Na nikiimba (nakuona tu Baba) Eeh na nikiwa nawe Daddy (nakuona tu Baba) Uwe pamoja nami oohh oohh Kwani najua (najua) Najua (najua) Umenishika kwenye mikono (mikono ooh) Najua (najua) Najua (najua) Umenishika mimi ni wako (ni wako ooh)

Ooooh weeh Ooooh weeh Ooooh weeh Ooooh weeh Ooooh weeh Ooooh weeh Oooh najuaaaaaaa Najuaaaa Ooooh weeh

Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

You May Also Like

News

Advertisement News reaching the desks of LeaguesAmerica.com indicate that Damon Arnette, the cornerback of Kansas City Chiefs, has found himself in the grips of...

News

Advertisement Willie Gay found himself in the grips of Police on Wednesday night for allegedly damaging a property. The Kansas City Chiefs linebacker was...

NBA

Advertisement The NBA in an official release on Friday, January 28, 2022, has said that Orlando Magic’s guard Cole Anthony has been slapped with...

News

Advertisement Tom Brady has said he is retiring after over 20 seasons in the NFL. Tom Brady, who plays for the Tampa Bay Buccaneers,...